KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Sunday, March 29, 2009

JENNIFER LOPEZ NA MALAVU


Jennifer lopez
Wadau nadhani wengi mwamjua huyo dada hapo! Anavipaji lukuki, pia si mchezo kajaliwaaa! Sasa swali langu je watu hutazama vipaji vyake ama maumbo yake au vyote kwa pamoja?
Mie sina jibu ila najua watu kibwena wameshaoa na kubwaga ila kuna kidume kinaitwa Marc Anthony kimempa watoto mapacha! Je wewe ungekuwa jamaa huyo ungekuwa na furaha ama huzuni? Je ungemlinda na wakware ama ungeacha watu wamfukuzie? Kwa kweli dada Jennifer lopez ni moto wa fire kwani licha na mapacha wake bado moto bati! Je weye ungemvalishaje ili watu udenda usiwatoke!
Ungemvalisha kininja, hijabu au kimini?kwani dada kwa kijishoo majaliwa yake ndio apatiapo maslahi.
Si unaona makopa manne!
Inamaana atapendwa na wangapi au anamilikiwa na wangapi!
Au ndio wakina Jolan, Puffy Daddy, Chriss Judd, Ben Affleck?
Je kama ndio hao wa kale je ya mumewe wa sasa iko wapi?
Au akimwagwa na yeye atapewa kopa yake!
Kweli hii ni hatari! Wizi mtupu hapooooooo!

No comments:

Post a Comment