LUDAAAA
Ila jaman hiyo minywele ni too much! Sasa hata hicho kichwa kinaweza kweli kuzunguka? Analalaje huyu jamaa?
Kungekuwa na duka la kuuza nywele za wanaume tungesema anafanya promo ila wapi!
Sasa huyu sikuhizi ana upara sijui manywele katupia wapi!
Habari za chini ya kapeti zinasema amepata manzi ambaye amempa sharti la kwanza la kutoa ili afro kama anampenda kwa dhati.
Na jamaa ametoa kweli mapenzi si mchezo. Haya ni kama yaleeee ya Samsoni na delila au Adam na Hawa na mambo yao ya tunda.
Je wewe kijana wa leo unawezeja kushinda nguvu ya mwanamke?
Je wewe kijana wa leo unawezeja kushinda nguvu ya mwanamke?
Tuma maoni mdau!
No comments:
Post a Comment