Kajamaa ka chupa kadaiwa!
Hako kamtu unakakaona kwenye mfuniko wa kioo ni mdaiwa wake, yaani jamaa kadai kaona kheri amfunikie kwenye hiyo chupa ya kioo ili jamaa atie akili au kama kuna ndugu zake waje wamlipe ili mshikaji apate chake!
Kweli sasa wanadamu wamepinda, pia maumbo mengine kimeo.
No comments:
Post a Comment