Hujafa hujaumbika
Akiwa bado binti mdogo sana Benezir Bhutto alipenda sana siasa, waweza ona hapo akiwa na baba yake katika siku za zama ya usichana wake. Ila maisha ni safari ndefu na kwa mama huyu kauli hii ni thabiti kwake. Kwani mwisho wa maisha yake ulifika pale alipolipuliwa na bomu pamoja na kupigwa risasi iliyositisha maisha yake.
Wadau maisha ndivyo yalivyo wazaliwa waishi na wafa!mungu aiweke sehemu pema peponi roho ya mwanasiasa huyu hodari.
No comments:
Post a Comment