KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, March 14, 2009

Acha Masihara na Mausingizi

Ukisikia kulala si mchezo usidhani utani, nimekutana na huyu dogi hapa yuko choka taabani kwa usingizi! Yaani hata ilo tairi la gari nyuma yake halikuweza kumnyima usingizi! jamani kulala kutamu!

No comments:

Post a Comment