KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Saturday, March 14, 2009
mapishi matamu lakini?
wadau nadhani wengi wetu mwajua utamu wa chips soseji na burger! hilo halina upinzani wala mgogoro! ila ndani ya kila uaridi kuna mwiba na ndani ya maanjumati haya kuna mafuta , chumvi na kemikali mbalimbali za kiwandani ambazo ni hatari kwa afya yako. je wadau tutapona hapo? leteni maoni yenu!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment