KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, March 14, 2009

Nani Zaidi Hapo

Onana na Mr Revo na Mr Nyakashi wote mbavu nene toka Kilimanjaro fitness Centre wakipozi baada ya kazi nzito ya kulift weight. Wote ni ma pro lifter wa nondo ndani ya Dar. Sasa kazi kwenu wadau kuniambia nani zaidi kati yao tuma maoni yako mdau! ujumbe wao ni No pain! No gain! go hard or Go home!

No comments:

Post a Comment