KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Wednesday, November 18, 2009
Rais Obama akamilisha ziara yake
Rais Obama amemaliza ziara yake rasmi nchini Uchina ambayo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Rais Obama pamoja na mwenyeji wake wamepongezana kwa kuwepo uhusiano mzuri kati ya nchi zao.
Alipokutana na waziri mkuu wa Uchina Wen Jiabao, Rais Obama alisema Marekani na Uchina zinapiga hatua kubwa ambayo sio tu inahusisha biashara na uchumi bali pia inahusisha kukabiliana na suala la hali ya hewa na lile la usalama wa kimataifa.
Waziri Wen amesema mazungumzo yanafaa badala ya makabiliano.Lakini hapakuwa na dalili za mabadiliko katika sarafu ya Uchina Yen ambayo Marekani inasema Uchina imeshusha sarafu hiyo bila sababu na kutatiza biashara ulimwenguni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment