KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, May 16, 2009

family day





Sherehe za familia ndio hizo zimeisha, ila kwa khali ya ajabu zimepita bila ya shamrashamra kama zilivyo sherehe nyingine kama vile za wapendanao na ile ya siku za wajinga.
jambo la muhimu ni kuwa familia ni kitu cha muhimu kwa kila jamii na ni zaidi ya mambo mengi katika kila mtu.
Tunapenda kuwafariji wanafamilia wote wa duniani walio katika taabu na mateso mbalimbali za maishani.
Tunawatakia wote wapenda amani na utu, pia yatima wote wasio na familia za kuwatunza, tunasema Mola ndie mweza wa yote atawajalia na kuwafariji, pia wajane wote salamu na baraka ziwe kwenu.

No comments:

Post a Comment