KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, April 4, 2009

VIONGOZI NA MICHEZO


Barrack Obama
Huyu ni raisi kipenzi wa dunia, watu wanampenda kwa sababu mbalimbali kuanzia maoni yake ya mabadiliko, unadhifu wake, upeo wake wa kuchuja hoja kwa umakini ila ngoja nikueleze jambo moja ambalo hata maraisi wengine wanamuonea gere huyu jamaa, kitu hicho afya yake! Jamaa anaweza cheza basketball, golf na michezo mingine kwa ufanisi wa wa khali. Je maraisi wangapi kwetu huku afrika wana uwezo wa kuwa katika fomu yake. Jambo la kuzingatia kwa viongozi wetu ni kuimarisha muonekano wao kiafya! Mwenye afya ana matumaini na mwenye matumaini ana kila kitu. Wadua leteni maoni yenu!

No comments:

Post a Comment