KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, April 4, 2009

Miundombinu ya Feri ya Dar Es Salaam


Unakikumbuka kivuko cha zamani, enzi hizo wakazi wa feri wakiwa wanapatiwa huduma na kivuko kikuu hiki?

sasa mambo yamebadilika! khali mpya, nguvu mpya , kasi mpya pia na kivuko kipya cha kisasa kiitwacho Mv Magogoni ona mambo!

No comments:

Post a Comment