KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Saturday, March 14, 2009
Mambo muhimu kuhusu afya
Haya wadau kwa wanaojua kimombo hayo ni baadhi ya mabalaa yatokanayo na kuwa na uzito uliozidi kiasi: Baadhi ya mambo hao ni kama stroke, shinikizo la damu, uharibifu wa mirija ya damu na hata uharibifu wa vibofu mwilini! Haya ni majanga ambayo ni kama changamoto kubwa kwetu sasa! Maisha ni matamu pale unapochukua taadhari ya kutosha kulinda afya yako! Linda afya yako ili uweze ishi maisha kwa raha zaidi!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment