KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Saturday, March 14, 2009
Bia! kileo! Pombe! Kilauli!Masanga! Nakadhalika!
Kama unavyojua hii ngoma ina majina lukuki ila mambo ni yaleyale kukupa stimu! Kama unavyomuona jamaa hapo katuliaa na glass yake akijipa raha kwa chati! je unaweza ona ilo friji lake linakuwa kubwa taraatibu iyo inaitwa "beer belly" yaani kitambi kitokanacho na pombe ! hili ni janga la kila mtumiaji wa kileo! Kwa afya bora unashauriwa kupunguza ama kuacha kabisa matumizi makubwa ya pombe! wadau kwa pamoja tuwe wajumbe wa kueneza habari kuhusu janga hili la matumizi ya kileo kupita kiasi!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment