KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, January 19, 2012

MWANAMKE ANAWEZA KUWA RAFIKI MAISHANI

MWANAMKE ANAWEZA KUWA RAFIKI MAISHANI




Mwanamke anaweza kuwa rafiki maishani ni mfumo wa uhusiano wa jambo Fulani, baina ya mwanamke na mwanaume. Hisia ni mfumo wa mawazo yenye kutafuta kitendo cha uhalisia wa jambo Fulani. Maranyingi hisia zinazidiana uwezo wa kupata uhalisia wa jambo Fulani. Moja wapo wa hisia hizo ni hisia ya nje (kuwaza sana mambo yanayoenda kinyume na uhalisia wako) au hisia ya ndani (kuhisi ladha, harufu, sauti, uchambuzi na usalama wa mwili).




UHUSIANO MAISHANI

Uhusiano ni mfumo unganishi baina ya viumbe.
Mfano:
Mbwa anaweza kuishi na binadamu au napaka bila matatizo licha ya kwamba kuna kurupushani za hapa na pale. Binadamu nao hutumia njia hii katika ushirikiano wa harakati maishani. NJIA HII HAINA UBAGUZI WA RANGI, KABILA, DINI, UKOO, FAMILIA, NDUGU JAMAA, MARAFIKI NA JINSIA.


Fursa hii, ndio inayotumiwa na mwanaume kujenga urafiki na mwanamke. Kutokana na uhusiano kuwa kiunganishi cha makabila, dini, upendo na kujenga utulivu na amani maishani bila kusahau uhusiano uliopo baina ya watu.


Katika maisha ya binadamu tunajikuta tukijenga uhusiano wa namna nyingi:
Kama: Biashara, kufanyakazi katika mchanganyiko wa mwanaume na mwanamke, urafiki,…. N.k. njia hii imetoa fursa kwa wanawake kama kuingia katika makundi ya vyombo vya: usalama, usafiri, biashara binafsi na kuwa tayari kuolewa na wanaume. Hakuna ndoa ambayo haina uhusiano wa kabla ya tendon a ikitokea huwa imefungisha bila ridha

No comments:

Post a Comment