
Tangazo hilo ambalo limesomwa na afisa wa ngazi ya juu wa kijeshi kupitia televisheni ya taifa, amethibitisha kuwa makubaliano ya amani ya Misri na Israel yatabakia vilevile.

Taarifa hiyo imekuja wakati maelfu ya waandamanaji wakisalia katika eneo la wazi la Tahrir mjini cairo, wakisherekea kujiuzulu kwa rais Hosni Mubarak siku ya Ijumaa.








Jeshi pialimesema limeitaka serikali iliyopo kuendelea kusalia madarakani, hadi serikali mpya iyakapoundwa, ambayo itafungua njia kwa utawala utakaopatikana kwa njia ya uchaguzi
No comments:
Post a Comment