
Hali nje ya kanisa lililoshambuliwa Alexandria
Mamia ya Wakristu waliandamana katika barabara za mji wa Alexandria, na katika mji mkuu wa Cairo, siku ya Jumapili.
Watu wachache wanahojiwa na polisi kuhusiana na mlipuko huo.
Hayo yakiendelea, kiongozi mmoja mkuu wa Waislamu nchini Misri, Sheikh Ahmed al-Tayeb, amemlaumu Papa Benedict kwa kuingilia masuala ya ndani ya Misri, wakati alipotoa wito kwa viongozi wa mataifa mbalimbali duniani, kuwalinda Wakristu wa Mashariki ya Kati
No comments:
Post a Comment