Rais wa Benin
Rais wa Cape Verde
rais wa Sierra Leonekuondoka madarakani kwa amani ama sivyo nguvu za kijeshi zitumike kumng'oa.

Marais wa Sierra Leone, Cape Verde na Benin, watawasilisha waraka kutoka ECOWAS kwa Bw Gbagbo unaomtaka akubali ushindi wa Alassane Ouattara na kumkabithi madaraka.
Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Sierra Leone, Ibrahim Ben Kargbo, ameiambia BBC, marais hao waraka wao utakuwa bayana.
No comments:
Post a Comment