KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Wednesday, January 20, 2010
DR. EDWARD MAISHANI.
DR. EDWARD MAISHANI.
DR. EDWARD NI MZALIWA WA ARUSHA NA KWA SASA ANAFANYIA SHUGHULI YAKE KATIKA JIJI LA DAR ES ALAAM, TANZANIA.
EDWARD NI KIJANA MWENYE KUJITUMA KATIKA KUTUMIKIA TAIFA LAKE.
HAKUNA JAMBO ZURI NA BORA MAISHANI KAMA ELIMU.
ELIMU NICHOMBO CHENYE UWEZO WAKUBADILISHA MAMBO (MAVAZI, MAKAZI, USAFIRI, AFYA, UFAHAMU…..N.K) NA MAISHA YA MTU HUSIKA.
DR. EDWARD ALIWEZA KUTUMIA UWEZO WAKE WA KIAKILI NA KUFIKIA ELIMU YA JUU MAISHANI MWAKE.
KIAFYA:
DR. EDWARD NI MTU MWENYE KUJALI AFYA ZA WATU WENGINE NA PIA BILA KUSAHAU AFYA YAKE MAISHANI.
DR. EDWARD ANAPOMALIZA KAZI YAKE YA KUHUDUMIA JAMII, HUELEKEA KATIKA HARAKATI YA KUTENGENEZA VIUNGO VYAKE. MATENGENEZO AU KUIMARISHA VIUNGO VYA DR. EDWARD, YANAFANYIKA KATIKA GYM (UKUMBI) YA KILIMANJARO FITNES CENTRE JIJINI DAR ES SALAAMU.
UKWELI NI KWAMBA DR. EDWARD AMEKAMILIKA NA YUKO FITI KIMWILI NA KIAKILI MAISHANI. NA NIVIGUMU SANA KUONA MTU MWENYE KUJITUMA KATIKA KUHUDUMIA JAMII NA KUKUMBUKA KUGHARAMIA MWILI WAKE KATIKA MAHITAJI YA KILA AINA(CHAKULA, MAVAZI, MATIBABU, USAFIRI MZURI, MAKAZI, LIKIZO, KUISHI NA WATU KWA UPENDO, KUJALI AFYA YAKE……N.K).
WATU WENGI HAWAPENDI KUFANYA MAZOWEZI MAISHANI MWAO NA WENGINE HUONA KUTOA PESA ZAO KWA KULIPIA SEHEMU MAALUMU (GYM) YA KUBORESHA MIILI YAO, KAMA NI GHARAMA ISIOKUWA NA MPANGO AU FAIDA MAISHANI MWAO. LAKINI WATU WENYE KUJALI AFYA ZAO MAISHANI, HUTUMIA MUDA WAO KATIKA KUHUDUMIA JAMII, BILA KUSAHAU AFYA ZAO MAISHANI. CHAKULA NI KIZURI MAISHANI, LAKINI CHAKULA KINAWEZA KUWA MOJAWAPO YA SUMU YA KUKUMALIZA (KUSAMBAZA MAGONJWA KAMA PRESHA, KISUKARI, UCHOVU WA MWILI, N.K) MAGONJWA MENGI YA MWILI WA MINADAMU YANAANZISHWA NA MLO USIOKUWA NA KIPIMO MAISHANI.
KINYWAJI:
KILA MTU ANAPENDA KUNYWA KILE ANACHOKIPENDA MAISHANI MWAKE, LAKINI NI VYEMA KUNYWA KILE KINYWAJI CHENYE UNAFU KATIKA UJENZI WA AFYA YAKO MAISHANI. KINYWAJI BORA NIKAMA, MAJI, JUISI, MAZIWA,……LAKINI POMBE NA SODA AU JUISI ZA MADUKANI NIVINYWAJI VYENYE UWEZO MKUBWA WA KUANZISHA NA KUSAMBAZA MAGONJWA MWILINI KWA HARAKA.
DR. EDWARD AMEJIANDAA VIZURI KATIKA HARAKATI YA KUPAMBANA NA MAGONJWA HAYO, BILA KUJALI GHARAMA YA UKUMBI WA MAZOWEZI (GYM).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment