KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Friday, October 16, 2009

Wanajeshi Congo "wauwa wakimbizi"



























Wanajeshi Congo "wauwa wakimbizi"

Mchunguzi wa Umoja wa Mataifa amesema wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo waliwauwa wakimbizi 50 wa Rwanda mwezi Aprili katika kambi yao.
Philip Alston amesema takriban wanawake 40 pia walikamatwa hali iliyoibua mashambulio ya kulipiza kisasi kutoka kwa wanamgambo wa Kihutu wa Rwanda.

Katika ripoti yake amesema harakati za kijeshi mwaka huu zilifanywa na wanajeshi wakiungwa mkono na walinda usalama wa Umoja wa Mataifa eneo la mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha maafa.

Walikuwa wakiwasaka waasi wa Kihutu waliopiga kambi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwa miaka.
DR Congo war world's deadliest: report
Eight years of war in Democratic Republic of Congo (DRC) have left nearly four million people dead, making it the deadliest humanitarian crisis today, according to a study published in the British medical weekly The Lancet.

No comments:

Post a Comment