KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Monday, June 1, 2009

Baba wa taifa Guinea Bissau aaga dunia

Baba wa taifa Guinea Bissau aaga dunia

Luis Cabral aliyeiongoza Guinea-Bissau mara baada ya kupata uhuru amefariki dunia akiwa nchini Ureno ambako amekuwa akiishi ukimbizini tangu alipotimuliwa madarakani mwaka wa 1980.




Vieira, João Bernardo

Independence fighter and general, Presient of Guinea-Bissau (1980-1999, 2005-).

João Bernardo Vieira was born in Bissau in the portuguese overseas provinz on April 27th, 1939. He won a leading role for the party - Partido Africano da Independência da Guiné e de Cobo Verde (PAIGC), foundet by Amilcar Cabral, as a successful Guerilla leader in the war of independence lasting since 1963 against the Portugese.

After the independence (1974) the first President of the country, Luís Cabral, appointed him to the first Minister President (1978). From 1980 he gradually transformated the socialist one party system for a multi parties presidential democracy on the basis of the free mrket economy.

1994: Won elections
1999: Ousted in a coup
2005: Wins run-off with 55.75%



Luis Cabral aliyeongoza Guinea-Bissau mara baada ya kupata uhuru amefariki dunia akiwa nchini Ureno alikokuwa akiishi ukimbizini tangu alipotimuliwa madarakani mwaka wa 1980.
Bwana Cabral ambaye alichukuwa wadhifa wa urais mwaka wa 1974, aling’olewa madarakani na Joao Bernardo Vieira aliyeuawa mwezi Machi mwaka huu.

Kabla ya kuhamia mjini Lisbon, Ureno, Bwana Cabral alikimbilia Cuba.

Taarifa ya serikali ilisema, “Serikali na wananchi wa Guinea-Bissau wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa Luis Cabral.”

Serikali inatarajiwa kufanya kikao cha dharura kuandaa siku tatu za maombolezo ya kitaifa.

No comments:

Post a Comment