KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Saturday, May 9, 2009
Utamu wa pesa Maishani
Wote twajua utamu wa pesa maishani mwetu! Pesa ni sabuni ya roho! Pesa hukupa raha na karaha, pesa hukupa marafiki na maadui, pesa hukupa furaha na huzuni pia. Tunafanya mambo mengi kwa kutumia pesa! Bila pesa maisha yanakuwa ya taabu na yaliyokosa msimamo. Je huko nyuma watu waliishi na pesa? maana kwa sasa kila kichwa cha mtu hufikiri pesa. Pesa hutafutwa kwa njia zote halali na haramu. kwa haki na dhuluma pia!je nani ni mtoa haki katika swala la pesa! je nani anaweza kuhakikisha kila mtu ana pesa. je pesa zote za dunia zinatutosha kila mtu kupata yake bila kugubudhi mwingine! je mahitaji yote haya pesa yanaweza kutuleta furaha! je tunaweza kutosheka kwa kiasi gani! je fahari zote za dunia twaweza kuzipata kwa pesa.Je pesa yaweza nunua haki au utu!
Licha ya kuambiwa kuhusu haki sawa watu bado uwatenga wenzao kwa kila njia kwasababu tu hawana pesa. mwisho wa mihangaiko yetu ya pesa ni kifo! nani atazikwa na pesa na mali zake! Mola kamwe hapokei pesa!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment