KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Saturday, March 14, 2009
Kutana na Mr Kunguru
Jamaa hapo juu anaitwa kunguru! vurugu gani hawezi fanya? wizi uchafu na kadhalika ndio maisha yake ya kila siku! Jamaa huyu uwezi amini kuwa ni mgeni kutoka india! Aliletwa hapa kwetu ili kuboresha khali ya usafi wa jiji letu.Kumbe jamaa wanazaliana kama sisimizi basi ikawa tabu mtindo mmoja ! Jamaa anaiba nguo, vifaranga, kuangusha antenna za watu na vurugu mechi kibao! Kweli Mr kunguru ni kiboko ya vurugu mechi katika ndege wote hapa tanzania!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment