Mke wangu anahitaji Bito,lakini kwa upande wangu naona kutokana na jina la gari hio,ni kunidhalilisha nimeamuwa kumnunulia LandCruser ,Nissan na Mark2, eti hataki anadai bito au Talaka !
Jamani naomba ushauri wenu ili nilinde ndoa yangu.
No comments:
Post a Comment