KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, March 8, 2014

Russia warns US off sanctions over Ukraine

Foreign minister Sergey Lavrov says such a move would "boomerang" during phone call with US counterpart John Kerry.
Russia has warned any US sanctions imposed on Moscow over the crisis in Ukraine will boomerang back on the United States, adding that Crimea has the right to self-determination as armed men tried to seize another Ukrainian military base on the peninsula.
In a telephone conversation with US Secretary of State John Kerry, Foreign Minister Sergey Lavrov warned against "hasty and reckless steps" that could harm Russian-American relations, the foreign ministry said on Friday. "Sanctions ... would inevitably hit the United States like a boomerang," it added.
Kerry stressed the importance of resolving the situation through diplomacy and said he and Lavrov would continue to consult, the US State Department said. Putin's reaction is very revealing. It's as if he's been in a sort of deep freeze since the Cold War and hasn't moved with the times. British Deputy Prime Minister Nick Clegg Russian President Vladimir Putin said after an hour-long call with US President Barack Obama that their positions on the former Soviet republic were still far apart. The exchange comes as Russia declared its support for the breakaway movement in Crimea, welcoming a delegation from the autonomous republic in Moscow. Obama announced the first sanctions against Russia on Thursday. Putin, who later on Friday opened the Paralympic Games in Sochi which have been boycotted by a string of Western dignitaries, said Ukraine's new, pro-Western authorities had acted illegitimately over the eastern, southeastern and Crimea regions.
"Russia cannot ignore calls for help and it acts accordingly, in full compliance with international law," he said. Serhiy Astakhov, an aide to the Ukrainian border guards' commander, said 30,000 Russian soldiers were now in Crimea, compared with the 11,000 permanently based with the Russian Black Sea fleet in the port of Sevastopol before the crisis. The Pentagon estimated as many as 20,000 Russian troops may be in Crimea. Putin denies the forces with no national insignia that are surrounding Ukrainian troops in their bases are under Moscow's command, although their vehicles have Russian military plates. The West has ridiculed his assertion. 'Deep freeze' On Saturday, Britain's Deputy Prime Minister Nick Clegg urged Putin to engage in a "civilised discussion" with the new government in Kiev. "Putin's reaction is very revealing. It's as if he's been in a sort of deep freeze since the Cold War and hasn't moved with the times," Clegg said. Former KGB spy Putin headed its successor, the Federal Security Service, shortly before he first became president in 2000.
"He gives every appearance of applying a KGB mentality rooted in the Cold War to new realities in 21st-century Europe," Clegg said.

Mtuhumiwa wa makosa ya kivita wa Jamuhuri ya Kidemokria ya Kongo

Mtuhumiwa wa makosa ya kivita wa Jamuhuri ya Kidemokria ya Kongo katika mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC, Bosco Ntaganda yupo njiani kuelekea katika sero ya Mahakama hiyo mjini The Hague. Generali Ntaganda ambaye alikuwa mhimili wa mgogoro wa Kaskazini mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, alijisalimisha katika ubalozi wa marekani mjini Kigali nchini Rwanda siku ya jumatatu.
Bosco Ntaganda anakabiliwa na mashtaka kumi ya makosa ya kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ambayo amekuwa akiyakana. Tarehe kamili ya kusikilizwa kwa kesi yake inatarajiwa kujulikana hivi karibuni.
Bosco Ntaganda ni mtuhumiwa wa kwanza kujisalimisha mwenyewe katika mahakama hiyo ya ICC. Kwa upande wake Mwendesha mashtaka Mkuu wa mahakama hiyo Fatou Bensouda amesema kujisalimisha kwa Ntaganda limekuwa ni jambo zuri. "Hii ni siku njema kwa waathirika wa vita nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika utoaji haki duniani."Bi Fatou Bensouda aliambia BBC katika kipindi cha Focus on Afrika. "Leo wale wote walioathirika na mkono wa Bosco Ntaganda sasa wataangalia sheria ikichukua mkono wake" Amesema Bi Bensouda.
Akijulikana kwa jina la "The Terminator" Ntaganda alipigana na makundi kadhaa ya waasi na pia aliwahi kuwa askari wa Jeshi la Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Katika siku za hivi karibuni inaaminika alikuwa mmoja wa viongozi wa kundi la waasi wa M23 ambalo limekuwa likipigana na majeshi ya serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

ICC yamtia hatiani Katanga wa DRC

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imempata na hatia ya uhalifu wa kivita mbabe wa kivita kutoka Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga. Hata hivyo Katanga hakukutwa na hatia katika shtaka la udhalilishaji wa kijinsia.
Alituhumiwa kuhusika na mauaji ya wanavijiji zaidi ya 200 mwaka 2003 katika jimbo la Ituri lenye utajiri wa dhahabu, kaskazini mashariki mwa Congo. Katanga ni mtu wa pili kupatikana na hatia ya uhalifu wa kivita katika mahakama ya ICC tangu ianzishwe mjini The Hague, Uholanzi mwaka 2002.
Katika shambulio hilo lililotokea mnamo Februari 24, 2003 watu 200 waliuawa katika kijiji cha Bogoro karibu na mpaka wa Uganda,Katanga wakati huo akiwa Kamanda wa kundi la waasi la Patriotic Resistance Force of Ituri (FRPI) lililotekeleza mauahi hayo. Ukanda wa Afrika ya Kati
Mwendesha mashtaka amesema nia yao kuu ilikuwa kuangamiza kijiji kizima. Germain Katanga kwa jina la utani Simba alikanusha mashtaka hayo yote dhidi yake .