KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, May 16, 2012

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI TANZANIA

Rais Jakaya Kikwete hivi punde ametangaza Baraza jipya la Mawaziri likiwa na sura mpya wakati baadhi ya Mawaziri wakibaki katika nafasi zao. Ifuatayo ni orodha ya Mawaziri hao walioteuliwa pamoja na Manaibu Waziri Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo Aprili 4, 2012. Rais Jakaya Kikwete hivi punde ametangaza Baraza jipya la Mawaziri likiwa na sura mpya wakati baadhi ya Mawaziri wakibaki katika nafasi zao. Ifuatayo ni orodha ya Mawaziri hao walioteuliwa pamoja na Manaibu Waziri. ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI MAWAZIRI 1. OFISI YA RAIS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)Ndugu Stephen M. Wasira, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)Ndugu George Mkuchika, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)Ndugu Celina Kombani, Mb., 2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)Ndugu Samia H. Suluhu, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb., 3. OFISI YA WAZIRI MKUU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)Ndugu Mary M. Nagu, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Hawa Ghasia, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)Ndugu William V. Lukuvi, Mb., 4. WIZARA Waziri wa Ushirikiano wa Afrika MasharikiNdugu Samuel J. Sitta, Mb., Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb., Waziri wa UjenziDr. John P. Magufuli, Mb., Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb., Waziri wa Elimu na Mafunzo ya UfundiDr. Shukuru J. Kawambwa, Mb., Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na WatotoNdugu Sophia M. Simba, Mb., Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaNdugu Bernard K. Membe, Mb., Waziri wa Katiba na Sheria Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb., Waziri wa Mambo ya Ndani ya NchiNdugu Emmanuel Nchimbi, Mb., Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na UvuviDr. David M. David, Mb., Waziri wa Kazi na Ajira Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb., Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na TeknolojiaProf. Makame M. Mbarawa, Mb., Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb., Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe, Mb., Waziri asiyekuwa na Wizara MaalumProf. Mark Mwandosya, Mb., Waziri wa Kilimo, Chakula na UshirikaEng. Christopher Chiza, Mb., Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe, Mb., Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoDr. Fenella E. Mukangara, Mb., Waziri wa Maliasili na Utalii Ndugu Khamis Kagasheki, Mb., Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb., Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa, Mb., Waziri wa Nishati na MadiniProf. Sospeter Muhongo, Mb., 5. NAIBU MAWAZIRI OFISI YA RAIS HAKUNA NAIBU WAZIRI 6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa RaisNdugu Charles Kitwanga, Mb., 7. OFISI YA WAZIRI MKUU Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb., Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Aggrey Mwanry, Mb., 8. WIZARA MBALIMBALI Naibu Waziri wa Kazi na AjiraDr. Makongoro M. Mahanga, Mb., Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na UshirikaNdugu Adam Malima, Mb., Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya NchiNdugu Pereira A. Silima, Mb., Naibu Waziri wa Viwanda na BiasharaNdugu Gregory G. Teu, Mb., Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na UvuviNdugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb., Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaNdugu Mahadhi J. Maalim, Mb., Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb., Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb., Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb., Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb., Naibu Waziri wa Maliasili na UtaliiNdugu Lazaro Nyalandu, Mb., Naibu Waziri wa UjenziNdugu Gerson Lwenge, Mb., Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb., Naibu Waziri wa Nishati na MadiniNdugu George Simbachawene, Mb., Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba, Mb., Naibu Waziri wa UchukuziDr. Charles J. Tizeba, Mb., Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoNdugu Amos Makala, Mb., Naibu Waziri wa Maji Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb., Naibu Waziri Nishati na Madini Ndugu Stephen Maselle, Mb., Naibu Waziri wa Katiba na SheriaNdugu Angela Jasmine Kairuki, Mb., Naibu Waziri wa FedhaNdugu Janet Mbene, Mb., Naibu Waziri wa FedhaNdugu Saada Mkuya Salum, Mb., Imetolewa na: Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu. Dar es Salaam. 4 Mei, 2012

No comments:

Post a Comment