KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Saturday, January 29, 2011

Mbowe ana kwa na na Jk, asema anamtambua


JANA kwa mara ya kwanza Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] alikutana ana kwa ana na Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana katika sherehe za kuadhimisha siku ya sheria duniani yaliyofanyika Mahakdama Kuu.
“Natambua uwepo wa Rais Kikwete, kwani yeye ndiye Rais wetu wa Tanzania, kwni nani alisema hamtambui?.alisema

Awali Chadema ilitoa kauli kuwa haimtambua Rais Kikwete kutokana na kudai alipita kwa njia za uchakachuaji na kudai tume ya uchaguzi ilimtangaza kwa kuiba kura na kupatikana na ushindi wake.

Hivyo chama hicho kilitoa amri kwa wabunge wake kususia hotuba ya Rais huyo na wabunge walilazimika kutoka nje ya ukumbi wa bunge kutosikiliza hotuba hiyo

No comments:

Post a Comment