KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, December 14, 2010

Watu zaidi ya 350 wakamatwa Eastleigh, Nairobi kufuatia msako wa polisi



Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Kitongoji cha Eastleigh jijini NairobiPolisi inasema msako unanuiwa kuimarisha usalama huku msimu wa likizo ukikaribia nchini Kenya. Kenya imelitaka shirika la upelelezi la Marekani FBI, kusaidia uchunguzi wa mashambulio dhidi ya polisi

Nchini Kenya jeshi la Polisi limeendelea na msako kuhusiana na shambulio la bomu dhidi ya gari ya polisi wiki iliyopita katika eneo la Eastleigh linalokaliwa na idadi akubwa ya raia wa nchi hiyo wenye asili ya kisomali, nje kidogo ya mji mkuu Nairobi.

Ili kufahamu zaidi juu ya maendeleo ya operesheni hiyo Aboubakar Liongo amezungumza na msemaji wa jeshi la polisi nchini Kenya, Eric Kiraithe

No comments:

Post a Comment