KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, December 14, 2010

Narudi mahakamani kumshitaki Tibaijuka -Taher


MARA baada ya Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibajuka kuchuku uamuzi wa kubomoa kuta alizogundua zimechuliwa isivyo halali mmiliki wa kiwanja hicho, Taher Muccadam amedai anarudi tena mahamani kudai haki yake ya msingi a ku
Alisema yeye ni mmilikii halali wa kiwanja hicho na waziri huyo alifanya kitendo hicho kwa kukaidi amri ya mahakama.

Wakili mtetezi wa aliyekwua mmiliki wa kiwanja hicho alisema kitendo alichokifanya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi cha kuruhusu tingatinga kumvunjia ukuta mteja wake si halali kwa mujibu wa sheria wka kuwa alipewa vibali kutoka mahakamani vya kujenga eneo hilo.

Alisema hatua hiyo ni dharau kubwa na ni nudhalilishaji wa kukaidi amri ya mahakama na watarudi mahakamani kumburuza waziri huyoaliyetumia nguvu kumoboma ukuta huo.

Awali waziri buyo aliwataka waliojiita wamiliki wa viwanja hivyo wajitokeze na aliwapa muda na alisema wasipojitokeza sheria itafata mkondo wake.

Kutokana na kauli hiyo ya waziri mmiliki huyo alitoa notisi ya siku saba kwa
Waziri Tibaijuka amuombe radhi na amlipe fidia ya Shilingi bilioni mbili kwa madai alivunjiwa heshima na kumdhalilisha kwa jamii vinginevyo atamfikisha mahakamani waizir huyo.

Hata hivyo waziri huyo hakufata kauli ya mmiliki huyo na juzi majira ya usiku alitinga eneo hilo na kubomoa eneo hilo lililo karibu na Hoteli ya Palm Beach kiwanja namba 1006 Upanga jijini

No comments:

Post a Comment