KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Monday, September 6, 2010

Mwanamke Akamatwa Akijipigisha Punyeto Huku Akiendesha Gari
Mwanamke mmoja nchini Uingereza amekamatwa akijipigisha punyeto huku akiendesha gari.
Dereva wa lori Jonathan Kitcher alishangazwa na gari dogo lililokuwa mbele yake ambalo lilikuwa likienda kwa mwendo wa polepole sana na kusababisha foleni nyuma yake.

Ili kujua sababu ya gari hilo kwenda mwendo wa polepole aliamua kuliovateki gari hilo na kuchungulia ndani.

Kitcher alishangazwa kumuona mwanamke wa umri wa makamo akiwa uchi kuanzia kiunoni kushuka chini akijipigisha punyeto huku akiendesha gari.

Kitcher aliamua kuwapigia simu polisi ambao hakupita muda mrefu walimsimamisha mwanamke huyo na kumkuta akiendelea kujichua mwenyewe.

Mwanamke huyo alijulikana kuwa ni Miranda Chapman mwenye umri wa miaka 43 ambaye ni mama wa watoto wanne.

Miranda alifunguliwa mashtaka ya kuendesha gari bila ya kuzingatia usalama barabarani na kufanya kitendo cha ngono hadharani nje ya maadili.

Huku akimiminikwa na machozi mahakamani, Miranda alikiri makosa aliyofunguliwa.

Wakili wa Miranda, aliiambia mahakama kuwa Miranda aliamua kujipa raha mwenyewe barabarani ili kupunguza stress alizo nazo baada ya binti yake ambaye ni taahira kupachikwa mimba na pia kutokana na mtoto wake wa kiume ambaye ni mwanajeshi kupelekwa Afghanistan.

Hakimu wa kesi hiyo alimpiga marufuku Miranda kuendesha gari tena mpaka baada ya uamuzi wa kesi hiyo utakapotolewa mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment