KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Friday, June 18, 2010

TUCTA yawasilisha ombi jingine serikalini

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesitisha mgomo ili kusubiri nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma ambopo serikali imeahidi kuuongeza na kutangazwa katika kiao ch bunge linaloendela mjini Dodoma.

Mbali na hilo la kusitisha mgomo, shirikisho hilo linasubiria ongezeko hilo na kusema endapo serikali haitafikia ombi lao la sh.315,000 kwa mwezi basi wameomba angalau ifikie sh.250,000 kwa mwezi.

Subirio hilo la wafanyakazi hao la kutangzwa kwa kima kipya cha mshahara wa kima cha chini kinatarajiwa kutangazwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia katika kikao cha Bunge kinachoendelea Dodoma.

Wafanyakazi waliwapa serikali siku saba kutangaza mshahara mpya ambapo siku inayoishia leo na kinyum na hapo mgomo wa nchi nzima utaitishwa kama walivyopanga awali.

Kaimu Katibu Mkuu wa Tucta, Bw. Sylvester Rwegasira, alisema mbele ya waandishi wa habaaari kuwa wametoa siku hizo saba kutangazwad kwa mshahara mpya ahadi iliyotolewa kwenye fhotub ya bajeti iliyotolewa wiki iliyopita

Hivyo wanasubiria nyong eza hiyo itakayosomwa na Waziri Ghasia

No comments:

Post a Comment