KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, June 18, 2010

JK kuchukua fomu Juni 21


MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Jakaya Kikwete, amesema anatarajia kuchukua fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya chama hicho Juni 21, mwaka huu ili aweze kuingia katika kinyang’anyiro cha kugombania kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao.
Katika harakati hizo Kikwete tayari alishatangaza harakati zake hizo atawashirikisha wanavyuo mbalimbali ili waweze kujifunza siasa mapema na kuahidi kuunda vikundi vyuoni ili wamsaidie kaika harakati hizo.

Alisema katika kila wilaya kutakuwa na timu tisa na ndani ya timu hizo Kikwete aliagiza kuwe na wanavyuo weannne kaika kila timu ili wanavyuo hao waweze kushiriki hughuli za uchaguzi na wakomae na kujifuna shuhuli za siasa waapo vyuoni n jinsi kufahmu shughuli za siasa zinavyokwenda.

Lengo ni kuwakuza wanavyuo kisiasa na kujifunza shughuli za uchaguzi ndani ya nchi yao.

Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unatarajia kufanyika Oktoba 31, mwaka huu nchi nzima kupata viongozi haow apya watkaoongoza jahazi wka kipindi ch miaka mitano ijayo.

Mchakato unaonyesha, Julai 16, mwaka huu, majina ya kugombea tiketi ya uraisi yatapendekezwa na Julai 17 kutangazwa majina hayo Tanzania Bara na Zanzibar

No comments:

Post a Comment