KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, May 21, 2010

PICHA YA WIKI


IKIWA VIFO VIMEZIDI, PAMOJA NA MAUDHI TUFANYEJE ILI TUISHI KATIKA USAHIHI WA MAISHA.
POLENI WAISLAMU KATIKA WAKATI HUU MGUMU NA WENYE NGUZO YA MTIHANI WA KIVITA AU VITA VYA KIROHO, VYA MICHORO ISIO NA UKWELI KUHUSU NABII MUHAMMAD (S.A.W). UVUMILIVU NI MUHIMU KWA KILA UPANDE UNAOSHAMBULIWA. UVUMILIVU NI MSINGI KATIKA HATUWA YA MAISHA YA MUISLAMU. VITA NI VINGI DUNIANI VYENYE UZUSHI NDANI YAKE NA MAUDHI ZIDI YA WAISLAMU. NI NAAMINI KWAMBA KITENDO HIKI CHA KUMCHORA NABII MUHAMMAD (S.A.W) KINAWAHUSU WALE WASIOKUWA WAISLAMU NA WENYE MIPANGO YA KIVITA JUU YA UISLAMU NA WAISLAMU. SIVYEMA WAISLAMU KUJIBU KWA JAZIBA, BALI TUNATAKIWA KUFIKIRIA VITA HIVYO CHANZO CHAKE, FAIDA NA UMUHIMU WA KUJIANDAA KUPAMBANA NA WALE WENYE KUVUNJIA HESHIMA UISLAMU NA WAISLAMU WOTE DUNIANI. NILAZIMA NA NIWAJIBU WA KILA MTU KULINDA AMANI YA MWILI NA ROHO YAKE. HUU NI WAKATI WA KULINDA MWILI NA ROHO JUU YA MASHAMBULIZI YA MBUU WENYE MIPANGO YA KUANGAMIZA DINI YA KIISLAMU NA WAISLAMU ULIMWENGUNI. NA INSHALLAH VITA HII ITAKUWA INA USHIDI DHIDI YA WALE WENYE HAKI.

No comments:

Post a Comment